MASHETANI WEKUNDU WAPASUKA KWENYE DERBY, WAPIGWA 3-1

Mashetani Wekundu wamepasuka kwenye derby ya jiji la Manchester katika dimba la Etihad.

FT: Man City 3-1 Man United
⚽ Foden 56’
⚽ Foden 80’
⚽ Haaland 90+1’
⚽ Rashford 8’

?Man City imesogea mpaka alama moja nyuma ya kinara Liverpool wakisalia nafasi ya pili alama 62 baada ya mechi 27.

?Man United wanasalia nafasi ya sita alama 44 baada ya mechi 27.

?Erling Haaland amefikisha magoli 18 akiwa kileleni mwa msimamo wa ufungaji bora magoli mawili mbele ya Mohammed Salah.