WAKIWA kwenye hesabu za kusaka ushindi dhidi ya Al Ahly mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wameweka wazi kuwa mpango kazi mkubwa ni kuwavuruga Waarabu wa Al Ahly kwenye mchezo wa mwisho ili wamalize wakiwa nafasi ya kwanza katika kundi D walilolopo