WAPINZANI wa Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, ASEC Mimosas wanatarajiwakukutana na balaa zito la wapinzani wao Simba ambao wameweka wazi kwamba wanahitaji ushindi kwenye mchezo huo wa hatua ya makundi unaotarajiwa kuchezwa Februari 23 nchini Ivory Coast.