LIGI kuu ya NBC Tanzania bara inaendelea tena leo Februari 15, 2024 kwa mechi tatu.
•
16:00 • JKT Tanzania vs Simba SC
?️ Meja Jenerali Isamuhyo
•
16:00 • Tanzania Prisons vs Singida FG FC
?️ Sokoine, Mbeya
•
20:15 • Coastal Union vs Dodoma Jiji FC
?️ Mkwakwani, Tanga
▪️Mchezo wa JKT Tanzania dhidi ya Wekundu wa Msimbazi, Simba SC utapigwa katika uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni Jijini Dar es Salaam.
▪️Unamudu kubeba mashabiki 4000 ingawa katika mchezo huu mashambiki 200 tu ndio watakaopata nafasi ya kukaa kwa kuwa bado upo kwenye matengenezo wengine watasimama.
▪️Hii ni mechi ya kwanza ya kiushindani kwa Simba Sc kwenye uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo.