FT: TANZANIA PRISONS 1-2 YANGA

FT Tanzania Prisons 1-2 Yanga

Uwanja wa Sokoine, Mbeya.

Goal kwa Prisons ni Jeremia Juma na Yanga. Mzize na Pacome.

Kikosi cha Tanzania Prisons kinasaka pointi tatu mbele ya Yanga ambao nao wanazihitaji pointi hizo pia.

Tanzania Prisons wamepata bao kipindi cha pili dakika ya 64 kupitia kwa Jeremia Juma kwa pigo la faulo iliyosababishwa na kipa Metacha Mnata ambaye ameonyeshwa kadi nyekundu.

Farid Mussa amefanyiwa mabadiliko yalazima nafasi yake ni Aboutwalib Mshery ameingia.

Ubao unasoma Tanzania Prisons 1-2 Yanga baada ya dakika 45 kukamilika.

Watupiaji ni Clement Mzize ambaye alipachika bao la kuongoza dakika ya 7 na lile la pili likifungwa na Pacome dakika ya 45.