SportsAMEKUJA NA MKWARA HUU BOSI SIMBA KISA USAJILI Saleh11 months ago01 mins BAADA ya kukamilisha usajili wa nyota wapya ndani ya kikosi cha Simba uongozi umeweka wazi kuwa wachezaji hao watafaya kazi kubwa kukamilisha majukumu yao ndani ya uwanja malengo ikiwa ni kuwapa furaha mashabiki na kutimiza majukumu uwanjani Post navigation Previous: MUDA WA KUFANYA KWELI NI SASA KILA KONANext: AMEOGEZA DOZI KWA MASTAA HUKO MASTA GAMONDI