NYOTA HAWA WANAACHWA YANGA NA SIMBA

USAJILI wa dirisha dogo unaendelea ambapo kuna wachezaji waliotambulishwa mitaa ya Kariakoo kwa Yanga na Simba. Ikumbukwe kwamba Yanga walikuwa wa kwanza kuanza utambulisho walipomtambulisha kiungo Shekhan Ibrahim kisha Simba walifuata kwa kumtangaza Saleh Karabaka.
Kuna orodha ya wachezaji ambao wataachwa kabla ya dirisha la usajili kufungwa.