DEAL DONE Wakati dirisha dogo linaendelea kuna nyota ambao tayari wameshatambulishwa katika timu zao kwa ajili ya kuanza majukumu mapya ambapo Yanga, Azam FC na Simba zipo sokoni kuboresha vikosi vyao kwa ajili ya kuendeleza ushindani katika mashindano wanayoshiriki