KUTOKANA na mwendo wa safu ya ulinzi Simba kuwa kwenye mwendo mbaya ndani ya ligi kwa kuruhusu mabao pamoja na kwenye Kombe la Mapinduzi kuanza kwa kuruhusu bao moja kwenye mchezo wa kwanza dhidi ya JKU beki Che Malone ametoa onyo kwa wachezaji wengine.