AGGY SIMBA: YANGA HAWATAKI CHAMA AONDOKE SIMBA

AGGY Simba ameweka wazi kuwa miongoni mwa wanaopenda kuona Clatous Chama anabaki ndani ya kikosi cha Simba ni watani zao wa jadi jambo ambalo linajulikana sababu. Aggy Simba ameweka wazi kuwa wanawachezaji wazuri ambao wanapewa nafasi na usajili ambao unafanyika kwa sasa hivyo watafanya usajili mzuri ambao utakuwa imara