>

AMEACHIWA HUKUMU BOSI HUYU KUHUSU LUIS

IMEELEZWA kuwa mabosi wa Simba wanafikiria kuachana na kiungo wao Luis ambaye alijiunga na timu hiyo kwa mara nyingine akitokea Al Ahly ya Misri kutokana na kutokuwa chaguo la kwanza ndani ya timu hiyo.

Kwa sasa ambacho kinatajwa ni majadiliano na benchi la ufundi pamoja na mchezaji mwenye kama atarejea kwenye ubora