BALEKE: NITACHEZA YANGA BADO KAZI IPO

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Jean Baleke ameweka wazi kuwa bado kazi ipo kwenye ligi na atacheza mechi nyingi kwa kuwa ligi inaanza na benchi la ufundi lina hesabu zake. Ipo wazi kwamba Balake ni ingizo jipya ndani ya Yanga aliwahi kucheza kikosi cha Simba msimu wa 2023/24 na alifunga jumla ya mabao 8 kabla kukutana na…

Read More

JONAS MKUDE AFUNGUKIA KARIAKOO DABI

LEGEND Jonas Mkude anayekipiga ndani ya kikosi cha Yanga amesema kuwa hana hofu na Kariakoo Dabi kutokana na uzoefu alionao muda wowote yupo tayari kuchezwa kwani hiyo ni kazi yake. Ikumbukwe kwamba Mkude ni timu mbili kubwa amecheza kwa sasa katika ardhi ya Tanzania, alianza na Simba kisha akaibukia Yanga baada ya kukutana na Thank…

Read More

MBWANA SAMATTA KAZINI DR CONGO

MBWANA Samatta nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars yupo kazini akiwa ni miongoni mwa wapeperusha bendera ya Tanzania kwenye mchezo wa kuwania kufuzu AFCON 2025 dhidi ya DR Congo. Kikosi kamili Oktoba 10 2024 kipo namna hii:- Ally Salim Lusajo Mwaikenda Mohamed Hussen Ibrahim Bacca Job Adolf Mtaswigwa Kibu Dennis Mudathir Yahya…

Read More

CHE MALONE AFUNGUKIA 5 G ZA YANGA

BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Simba, Che Malone ameweka wazi kuwa matokeo yaliyopita kwenye Kariakoo Dabi hayawezi kubadilika hivyo wanachofanya ni maandalizi mazuri kuelekea mchezo ujao unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ipo wazi kuwa msimu wa 2023/24 Simba kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza dhidi ya Yanga uliochezwa Uwanja wa Mkapa baada ya…

Read More

KIPA WA YANGA AJENGA UFALME WAKE

KWENYE eneo la makipa Bongo Djigui Diarra wa Yanga ameendeleza kujenga ufalme wake akiwa amecheza jumla ya mechi 8 za ushindani bila kufungwa ndani ya uwanja. Mechi hizo ambazo amcheza ni dakika 720 kwa Diarra amekomba akiwa uwanjani katika mechi za ushindani msimu wa 2024/25 akishirikiana na wachezaji wengine wa kikosi hicho kinachonolewa na Kocha…

Read More

YANGA KIMATAIFA YAPANGWA NA TP MAZEMBE

KIKOSI cha Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi kilikuwa Pot 2 na timu za CR Belouizdad, Yanga na Pyramids. Pot 1 lilikuwa na Al Ahly, E.S.T Tunis, MSFC na TP Mazembe. POT 3 ilikuwa Al Hilal ya Sudan, Orlando Pirates ya Afrika Kusini, GDSE, ASFAR. Pot 4 ilikuwa na MC Alger, Maniema Union, Djoliba…

Read More

HAWA HAPA WAPINZANI WA SIMBA KIMATAIFA

DROO ya Kombe la Shirikisho imepangwa nchini Misri ambapo wawakilishi kwenye anga hilo kutoka Tanzania ni Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Simba imepangwa kundi A na ilikuwa POT 1 lililokuwa na Zamalek, RS Berkane, Simba, USM Alger ambazo hizi hazitakuwa pamoja kwenye makundi na POT 2 lilikuwa na ASEC Mimosas, Stade Malien, Al…

Read More

BACCA ANATAKA KUFUNGA KILA MECHI

BEKI wa kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi Ibrahim Bacca amesema kuwa mpango mkubwa ni kuona kwamba anafunga kila mechi. Nyota huyo alifungua akaunti ya mabao kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ken Gold uliochezwa Uwanja wa Sokoine akitumia pasi ya Aziz Ki ambaye kwenye mchezo huo alipiga faulo nje…

Read More

MIGUEL GAMONDI REKODI ZAKE HIZI HAPA

YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi baada ya kucheza mechi nne ambazo ni dakika 360 imekomba ushindi mechi zote za Ligi Kuu Bara. Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa watetezi wa taji la ligi walitwaa msimu wa 2023/24 walipomaliza msimu wakiwa na pointi 80 kibindoni baada ya kucheza mechi 30. Kwa msimu wa 2024/25…

Read More

HIZI HAPA ZA MWAMBA FADLU REKODI ZAKE

KIKOSI cha Simba chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids ni mechi tano kimeshuka uwanjani ndani ya Ligi Kuu Bara ambazo ni dakika 450. Katika mechi hizo ushindi mechi nne Simba ilipata kwa kukomba pointi tatu mazima ambazo ni 12 ndani ya uwanja na iliambulia sare mchezo mmoja. Ikumbukwe kwamba kwenye sare hiyo ya kufungana mabao…

Read More

SIMBA JESHI LAKE DHIDI YA COASTAL UNION

KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kina kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Coastal Union kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC, Complex Mwenge. Rekodi zinaonyesha kuwa kwenye mechi 10 ambazo wamekutana hivi karibuni ushindi kwa Simba ni mechi 8 na walitoshana nguvu kwenye mechi mbili ambazo ni dakika…

Read More

MAXI NZENGELI BALAA ZITO

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga Maxi Nzengeli ana balaa zito uwanjani kutokana na kuwa na uwezo wa kufunga na kutengeneza nafasi za mabao kwenye mechi za ushindani msimu wa 2024/25 akiwa namba moja kwa wakali wa kutupia ndani ya Yanga kwenye ligi. Ni mabao matatu anayo kibindoni akiwa amefunga mabao hayo ugenini bao moja na Uwanja…

Read More