BODABODA NA DEREVA BAJAJI WAFURAHIA UJIO WA MERIDIANBET

Mambo vipi mteja wa Meridianbet? Hivi unajua kuwa Meridianbet ndio kampuni pekee Tanzania ambayo hurejesha kwenye jamii karibu kila mwezi kile kidogo wakipatacho. Hivyo leo hii wao wameamua kwenda maeneo ya Mbezi na Kimara na kutoa reflectors kwa madereva hao ambazo zitawasaidia.

Safari hiyo iliongozwa na Mhariri wa Meridianbet Nancy Ingram akiwa na timu yake nzima wakishirikiana kwa pamoja kutoa Reflectors hizo kwa boda boda kwaajili ya kuwafanya wajikinge na ajali wakati wa usiku wakiwa wanaendesha boda boda.

Kampuni hiyo ya ubashiri Tanzania, Meridianbet kufanya hivi imekuwa ni kawaida yao ambapo mpaka sasa wamewafikia watu wengi wenye uhitaji. Na safari hii waliamua kufika maeneno ya huko Kimara na Mbezi ambapo uhitaji ulikuwa ni mkubwa kutokana na uwingi mkubwa wa watu.

Nancy amesema kuwa Reflectors hizo ni kwaajili ya kuimarisha usalama wao wakiwa barabarani hasa wakati huu ambao kuna mvua jijini Dar es salaam, hivyo inakuwa ni rahisi kwa wao kufanya shughuli zao kwa usalama.

Ndugu mteja wa Meridianbet kumbuka pia licha ya kampuni hiyo kurejesha kwenye jamii, wanakuambia hivi usiache kupiga mkwanja na Meridianbet kupitia JACKPOT yao ambayo wanatoa ya shilingi Milioni Mia Mbili 200,000,000 kwa dau lako la 1000, ambapo ukiweza kubashiri mechi zako 13 kwa usahihi basi pesa hiyo ni yako.

Baada ya kupokea Reflectors hizo boda boda wa Kimara na Mbezi waliishukuru sana Meridianbet kwa kuwafikia na kuwaletea vifaa hivyo kwani walikuwa wakivihitaji sana na pia waliwaomba isiwe mwisho kuwatembelea tena kwani uhitaji ni mwingi.

Meridianbet wanatoa ODDS KUBWA na za ushawishi hivyo weka dau lako na ubeti sasa kwani mechi nyingi za Mataifa zinaendelea wikendi hii. Una nafasi kubwa ya kutimiza ndoto yako ukibashiri na meridianbet.

Ujio wa timu nzima ya Meridianbet ulikuwa faraja kwa bodaboda na bajaji wa Kimara na Mbezi kwani macho yao yalijawa furaha sana kuona nao wanakumbukwa kwa namna moja au nyingine.

Wewe pia una nafasi ya kupata faraja ukicheza michezo kibao ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Aviator, Poker, Roullette, Keno, Wild Icy Fruits na mingine kibao uweze kujiweka kwenye nafasi ya kujishindia maokoto ya maana.