Baada ya kurupushani za juzi na jana kwenye ligi ya Mabingwa kumalizika, sasa ni zamu ya Europa kukupatia mkwanja wa maana ukibashiri na Meridianbet pekee Tanzania. Hapa unapata kila ambacho unakitaka ikiwemo ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na mengine mengi.
Liverpool ya Klopp baada ya kupata ushindi mchezo uliopita, watamenyana dhidi ya Union Saint-Gilloise mwenye ODDS ya 10.78. Majogoo wametoka kupoteza mchezo wa ligi na mategemeo yao yapo kwenye mechi hii ya leo. Je kuna nafasi ya wao kushinda mchezo huu wa leo? Beti mechi hii.
Freiburg amabye atacheza dhidi ya West Ham kutoka Uingereza. Timu zote hizi zimetoka kushinda mechi zao za kwanza, huku nafasi ya kuhsinda mchezo huu akipewa yoyote akiwa na ODDS ya 2.60 na sare ikiwa na 3.43. Je vijana wa David Moyes wataambulia nini ugenini? Suka jamvi lako muda huu na Meridianbet.
Wakati huo huo patashika nguo kuchanika kule Ufaransa ambapo Brighton & Hove Albion ambaye ametoka kuchapika vibaya sana kwenye ligi leo hii atakua mgeni wa Olympique Marseille. Mwenyeji alitoa sare mchezo wake wa kwanza huku mgeni akipoteza mechi yake ya kwanza. ODDS KUBWA zipo mechi hii bashiri sasa.
Habari njema ni kwa wale wateja wa USSD na kitochi kwani Meridianbet kwasasa wameongeza pesa kwenye ile Jackpoti yao na kufikia Milioni Mia Mbili, 200,000,000. Piga *149*10# ubashiri na Mabingwa wa ubashiri Tanzania, bila kusahau kuwa ONLINE pia ipo.
Baada ya kupoteza mechi ya kwanza Real Betis kutoka Hispania itakuwa mwenyeji wa Sparta Prague ambaye alishinda mechi yake ya kwanza. Meridianbet wamempa nafasi ya kushinda mchezo huu Betis aiwa na ODDS ya 1.77 kwa 4.21. Wewe beti yako unaipeleka kwa nani?
Villarreal ambaye anapata misukosuko kwenye michuano yote, leo tena atarejea dimbani kusaka pointi tatu kwenye Europa dhidi ya Rennes kutoka Ufaransa. Mgeni anaongoza kundi hilo baada ya kushinda mchezo wa kwanza. Je leo hii Nyambizi watakubali kichapo wakiwa nyumbani? ODDS KUBWA zipo mechi hii pia.
Sporting Lisbon atakipiga dhidi ya Atalanta huku timu zote zikishinda mechi zao za kwanza. ODDS ya kubaki na pointi tatu kwa Lisbon ni 2.25 na mgeni akuondoka nazo ni 3.04. Nani ni nani leo? Kivumbi hicho ni saa 1:45 usiku.
Wakati Ajax baada ya kutoa sare ya kufungana mechi yake iliyopita, leo hii yupo ugenini dhidi ya AEK Athens mwenye ODDS ya 2.17. Timu hiyo kutoka Uholanzi imekuwa ikipitia wakati mgumu sana kwenye michuano yote. Je leo itafanya nini kwenye mechi yake ya pili? Mechi hii ina machaguo mengi sana.
Vijana wa Mourinho, AS Roma watamkaribisha Servette Geneva huku Roma kushinda mchezo huu amepewa ODDS ya 1.20 kwa 12.74. Je timu hiyo yenye Lukaku, Dybala na wengine itapata ushindi wa pili mfululizo kwenye michuano hii? Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet.