JULAI Mosi 2023 dirisha la usajili limefunguliwa huku mashabiki wa Simba wakiweka wazi kuwa wanahitaji wachezaji bora ambao watawapa furaha na mataji. Ipo wazi kuwa msimu wa 2022/23 Simba imepishana na mataji muhimu ambayo yamekwenda Yanga.
Yanga imetwaa ligi, Ngao ya Jamii na Azam Sports Federation huku Simba ikiambulia nafasi ya pili kwenye ligi