Skip to content
YANGA wamesepa na ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23 wakiwa na pointi 78.
Mchezo wa mwisho kwa msimu huu wameshuhudia ubao wa Uwanja wa Sokoine ukisoma Tanzania Prisons 0-2 Yanga.
Ni mabao ya Fiston Mayele wa Yanga dakika ya 33 alipachika bao hilo akitumia pasi ya Sure Boy na bao la pili ni mali ya Yanick Bangala.
Leo Juni 9 Yanga imekabidhwa taji hilo Mbeya baada ya kusepa na pointi tatu mazima ugenini.