>

MUONEKANO WA KOMBE JIPYA LA NBC

HILI hapa kombe jipya la NBC Premier League ambalo watakabidhiwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara Yanga.

Leo Juni 7,2023 limezinduliwa kombe hilo mbele ya Waandishi wa Habari makao makuu ya benki hiyo, Posta.

Yanga imetwaa taji hilo mara ya pili mfululizo ikiwa ni msimu wa 2021/22 na msimu huu pia wa 2022/23 lipo mikononi mwa Yanga.