VIDEO:JEMBE AFUNGUKIA ISHU YA MVUA NA KUPOTEZA KWA YANGA KIMATAIFA

LEGEND kwenye masuala ya michezo ardhi ya Tanzania anga za kitaifa na kimataifa Saleh Jembe amezungumzia kuhus mchezo wa Yanga dhidi ya USM Alger uliochezwa Uwanja wa Mkapa Mei 28,2023.

Ilikuwa ni fainali ya kwanza kwa Yanga na ubao ulisoma Yanga 1-2 USM Alger, kwenye mchezo huo hali ya hewa ilkuwa ni mvua jambo ambalo limekuwa likitajwa kuwavuruga Yanga,