KIKOSI CHA SIMBA DHIFI Y WYDAD

KIKOSI cha Simba dhidi ya Wydad Casablanca mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua  kipo namna hii:-

Ally Salim ameanza langoni, Shomari Kapombe, Henock Inonga, Joash Onyango, Mohamed Hussein amevaa kitambaa cha unahodha.

Mzamiru Yassin na Sadio Kanoute katika eneo la kiungo mkabaji.

Kibu Dennis,Saido Ntibanzokiza na Clatous Chama upande wa viungo washambuliaji na Jean Baleke mshambuliaji.

Ngoma inapigwa Uwanja wa Mohamed V, Morocco saa 10:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.