VIDEO;JEMBE ABAINISHA MLIMA MKUBWA WALIONAO SIMBA

MKONGWE kwenye masuala ya uandishi wa Habari za Michezo kitaifa na kimataifa ndani ya Bongo, Jembe amezungumzia mlima waliona Simba kwenye anga la kimataifa dhidi ya Wydad Casablanca.

Ni timu mbili ambazo zipo kwenye hatua ya robo fainali kwa Tanzania ambapo Yanga ipo kwenye Kombe la Shirikisho Afrika huku Simba ikiwa Ligi ya Mabingwa Afrika.