MANCHESTER United wamekomba poiñti zote tatu dhidi ya Everton katika mchezo wa Ligi Kuu England.
Dakika ya 36 Scott MC Tominay alipachika bao la kwanza na lile la pili Mali ya Anthony Martial ilikuwa dakika ya 71.
United walipiga mashuti 29 huku Everton walipiga mashuti 15.
Ni 11 ya United yalilenga lango na shuti moja pekee la Everton lililenga lango.
Pointi 56 kibindoni nafasi ya 4 ni Manchester United huku Everton nafasi ya17 pointi 27.