UWANJA wa Azam Complex ubao unasoma Simba 4-0 Ihefu ikiwa ni mchezo wa hatua ya robo fainali Azam Sports Federation.
Mabao ya Simba ymepachikwa na Jean Baleke ambaye ametupia mabao matatu kwenye mchezo wa leo.
Bao moja limefungwa na Saido Ntibanzokiza kipindi cha kwanza.
Ngoma ilianza na Baleke dakika ya 2,15 na 27 huku lile la Saido ikiwa ni dakika ya 40.