PROMOSHENI BOMBA YA THE MAGICAL 22 KUTOKA MERIDIANBET INAKUSUBIRI!

Muda muafaka ni mwisho wa mwaka, katika michezo iliyochaguliwa ya Pragmatic Play! Kuanzia Desemba 26 mpaka Januari 4, 2023, shiriki katika promosheni ya shindano la kasino ambayo ina zawadi kubwa yenye kusisimua ya TZS 12,000,000!

Bingwa ataibuka na kitita cha TZS 3,800,000, mshindi wa pili 1,800,000 TZS na nafasi ya tatu ataondoka na 1,300,000 na pia zawadi zitatolewa kwa washindi mpaka nafasi ya 50!

Wakati ni sasa, anza mchezo wako, Kila la Kheri!

The Magical 22

Promosheni hii itafanyika katika mtindo wa shindano, kuanzia Desemba 26 saa 06:00 usiku mpaka Januari 4, 2023 saa 05:59 usiku. Wateja pekee wa Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet watashiriki kwenye shindano hili.

Promosheni itahusisha michezo ya sloti ifuatayo iliyotengenezwa na Pragmatic Play:

  • Cash Patrol
  • Christmas Big Bass Bonanza
  • Christmas Carol Megaways
  • Gates of Olympus
  • Great Rhino Megaways
  • Sugar Rush
  • Sweet Bonanza
  • The Dog House Megaways

Mshindi Anapatikanaje?

Nafasi za wachezaji katika shindano zitazingatia “Kiasi cha juu cha ushindi katika mzunguko mmoja (kulingana na thamani ya dau) – Kiwango cha juu kilichozidishwa (Highest hit multiplier)”. Kiwango cha juu cha malipo kwenye mizunguko yote. (Beta Value)

Mfano, mchezaji aliyecheza dau la TZS 500 anapata faida ya TZS 500,000, mchezaji atakuwa na pointi 1,000, i.e atakuwa amepata pointi 1,000 au faida ya TZS 500,000/thamani ya mzunguko TZS 500 = pointi 1,000)

Dau la chini kushiriki kwa mzunguko ni TZS 500 au sawa na viwango vingine vya pesa.

Mizunguko pekee iliyocheza kwa pesa halisi itashiriki kwenye shindano.

  • Nafasi ya 1 – 3,800,000 TZS
  • Nafasi ya 2 – 1,800,000 TZS
  • Nafasi ya 3 – 1,300,000 TZS
  • Nafasi ya 4 na 5 – 800,000 TZS kila mmoja
  • Nafasi ya 6 mpaka ya 10 – 250,000 TZS kila mmoja
  • Nafasi ya 11 mpaka ya 15 – 125,000 TZS kila mmoja
  • Nafasi ya 16 mpaka ya 20 – 100,000 TZS kila mmoja
  • Nafasi ya 21 mpaka ya 50 – 60,000 TZS kila mmoja

Kanuni za Promosheni ya The Magical 22

  1. Wachezaji wataona nafasi zao, pamoja na sheria na zawadi za shindano katika michezo iliyoorodheshwa kushiriki kwa kubofya katika kitufe cha shindano.
  2. Zawadi zitalipwa kama pesa taslimu moja kwa moja kwenye akaunti ya mchezaji, na baada ya shindano kukamilika na kila mchezaji atataarifiwa kupitia ujumbe.
  3. Zawadi zitakuwa tayari kutolewa au kutumika kwenye ofa nyingine katika tovuti yetu.
  4. Katika kesi ya ulaghai, matatizo ya kiufundi, pamoja na mambo yaliyo nje ya uwezo wa muandaaji, ambayo yanaweza kuathiri uadilifu na utendaji kazi mzuri, Muandaaji ana haki ya kutotoa zawadi, na kufuta ushindi uliotokana na mchezo ambao unyanyasaji umehusika.

N.B: Meridian na Pragmatic Play wana haki ya kubadili sheria au kufuta au kubadili promosheni wakati wowote.  Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.