SportsAZAM FC KUIKABILI COASTAL UNION Saleh4 years ago01 mins KIKOSI cha Azam FC kinachonolewa na Kaimu Kocha Mkuu, Kali Ongala leo kitakuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Coastal Union. Azam FC imetoka kushinda bao 1-0 dhidi ya Namungo FC na imekuwa kwenye kasi bora ndani ya ligi kwa mechi za hivi karibuni. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 ambapo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Azam FC baada ya kucheza mechi 13 imekusanya pointi 29 inakutana na Coastal Union yenye pointi 12 baada ya kucheza mechi 11. Ongala amesema anatambua mchezo utakuwa mgumu lakini wapo tayari kwa ajili ya ushindani. Post navigation Previous: KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA DHIDI YA POLISI TANZANIANext: POLISI TANZANIA 0-2 SIMBA
Soccer Football - International Friendly - Italy v Turkey - Stadio Renato Dall'Ara, Bologna, Italy - June 4, 2024 Turkey's Abdulkadir Omur shakes hands with Italy's Riccardo Calafiori after the match REUTERS/Daniele Mascolo Uturuki, Italia Kukutana Kwenye Kivumbi cha Nations League Saleh19 hours ago 0