AHMED Ally, Kocha Msaidizi wa KMC amesema kuwa wanatambua wanakwenda kucheza mchezo wa aina gani kesho dhidi ya Yanga Uwanja wa Mkapa wakiwa wametoka kupata pointi moja dhidi ya Simba, Kocha huyo amesema kuwa wachezaji wote wapo tayari kuikabili Yanga ili upata ushindi