KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda leo Oktoba 16,2022 kinatupa kete yake kimataifa dhidi ya de Agosto ya Angola.
Hiki hapa kikosi cha Simba kinachotarajiwa kuanza namna hii:-
Aishi Manula
Israel Mwenda
Mohamed Hussein
Joash Onyango
Henock Inonga
Sadio Kanoute
Pape Sakho
Mzamiru Yassin
Moses Phiri
Clatous Chama
Okra