SportsSAUTI:KIKOSI CHA YANGA KUFANYIWA MABADILIKO MAKUBWA Saleh2 years ago01 mins KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amebainisha kuwa mchezo wao dhidi ya Al Hilal unatarajiwa kuwa na ugumu kutokana na kushindwa kutumia nafasi ambazo walipata kwenye mchezo uliopita na inatarajiwa kuwa na mabadiliko kwenye kikosi hicho Post navigation Previous: MBEYA CITY YAINYOOSHA POLISI TANZANIANext: VIDEO:MCONGO WA SIMBA: KWA UWEZO SIMBA IMEPITA,KUNA KAZI YA KUFANYA