SportsVIDEO: YANGA: MGUNDA ATAFUKUZWA NA MAKOFI,AOMBEWA KHERI Saleh2 years ago01 mins MBOTO shabiki wa Yanga ameweka wazi kuwa Kocha Mgunda anapaswa kufanya vizuri kwenye mechi zao kwa kuwa akifungwa kuna nyimbo huwa wanaimbiwa, amebainisha kuwa Juma Mgunda atafukuzwa tena na makofi kwa kuwa mashabiki wa Simba wameumbiwa hasira Post navigation Previous: SAUTI:KOCHA MBRAZIL AIBUKIA SIMBANext: VIDEO:MBOTO AFUNGUKIA SIRI MSEMAJI MPYA YANGA, CEO