SportsVIDEO:ASHA BARAKA:TUTASHINDA,TUSIKATE TAMAA Saleh2 years ago2 years ago01 mins ASHA Baraka shabiki wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amebainisha kuwa licha ya kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Uganda kuna nafasi ya kupata ushindi mchezo ujao Uganda ambao utakuwa wa marudio Septemba 3 Post navigation Previous: NABI:HAITAKUWA KAZI RAHISI KUTWAA UBINGWANext: SIMBA YACHEKELEA USHINDI