Liverpool Yang’ara, Man United Yalazimishwa Sare, Bayern Yapoteza
Liverpool imeendeleza makali yake Ligi ya Mabingwa baada ya kuichapa Club Brugge mabao 3-0 ugenini, huku Manchester United ikishindwa kupata ushindi baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 na Sporting Lisbon katika michezo ya soka iliyopigwa usiku wa kuamkia leo Novemba 26, 2026. Katika mchezo huo, Liverpool ilipata mabao kupitia Alexander Isak aliyefunga dakika ya…