Senegal Yarejeshewa Ubingwa wa Afcon 2025 Baada ya CAS Kubatilisha Uamuzi wa CAF
Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imeirejeshea Senegal ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), baada ya kutengua uamuzi wa awali wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) uliokuwa umeipa Morocco ushindi wa mezani wa mabao 3-0. Uamuzi huo umetolewa Novemba 24, 2026, kufuatia rufaa iliyowasilishwa na Shirikisho la Soka la Senegal kupinga hatua…