AS FAR Yaandika Historia, Yatwaa Ubingwa Wa Caf Women’s Champions League Kwa Mara Ya Tatu
MISRI: Klabu ya wanawake ya AS FAR ya Morocco imeendelea kuandika historia katika soka la wanawake barani Afrika baada ya kutwaa ubingwa wa CAF Women’s Champions League kwa mara ya tatu. AS FAR ilitwaa taji hilo leo, Novemba 15, 2026, baada ya kuichapa Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini mabao 3-1 katika mchezo wa fainali uliochezwa…