Meridianbet Inakuleta Karibu Na Historia Ya Ufc Fight Night Belgrade Usiku Wa Leo

Hatimaye siku iliyokuwa ikisubiriwa na mashabiki wa UFC imewadia. Usiku wa leo Belgrade Arena nchini Serbia itageuka kitovu cha michezo ya mapigano duniani wakati UFC Fight Night Belgrade ikiwakutanisha wapiganaji wenye kiu ya ushindi mbele ya mashabiki kutoka kila kona ya dunia. Kwa upande wa wabashiri, huu ni usiku wa fursa nyingi kupitia Meridianbet, kampuni…

Read More