Skip to content
Wednesday, April 8, 2026
  • Mechi Kubwa Ulaya: Sporting CP vs Arsenal, Real Madrid vs Bayern Munich
  • Simba Kuikabili TRA, Dodoma Jiji na Fountain Gate jijini Arusha
  • Pamba Jiji FC vs Yanga SC kituo kinachofuata
  • Hii hapa ratiba ya Simba SC Aprili

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Mechi Kubwa Ulaya: Sporting CP vs Arsenal, Real Madrid vs Bayern Munich
  • Simba Kuikabili TRA, Dodoma Jiji na Fountain Gate jijini Arusha
  • Pamba Jiji FC vs Yanga SC kituo kinachofuata
  • Hii hapa ratiba ya Simba SC Aprili

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2026
  • April
  • 5

April 5, 2026

  • Sports

Azam FC Yaendeleza Ubabe Dhidi ya Simba, Yadumisha Rekodi ya Kutopoteza

Saleh2 days ago01 mins

Klabu ya Azam FC imeendelea kuonesha ubora wake msimu huu baada ya kutoka sare ya bila kufungana dhidi ya Simba SC katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la Azam Complex. Matokeo hayo yanaifanya Azam FC kuendeleza rekodi yao ya kutopoteza (unbeaten) msimu huu, huku ikiwa ni mara ya pili kuwazuia Simba SC kupata ushindi baada ya…

Read More
  • Sports

Singida Black Stars Yavunja Benchi Zima la Ufundi Baada ya Kichapo cha TRA United

Saleh2 days ago01 mins

Klabu ya Singida Black Stars imetangaza kuvunja Benchi zima la Ufundi la timu hiyo iliyokuwa chini ya kocha Othmen Najar kuanzia leo, tarehe 05 Aprili 2026, ikiwa ni muda mfupi baada ya kipigo cha 2-0 dhidi ya TRA United katika dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha. Taarifa ya leo Aprili 05, 2026 iliyotolewa na uongozi…

Read More
  • International
  • Sports

Mechi Mbili za Moto Ulaya: Inter vs Roma, Monaco vs Marseille

Saleh2 days ago2 days ago04 mins

Ushindi Mnono unakusubiri leo ndani ya Meridianbet kwani hapa unapata, Odds kubwa, Machaguo zaidi ya 1000 na mengine mengi. Ili kubashiri sasa ingia kwenye akaunti yako na ubashiri leo. Katika soka la Italia, kuna mechi chache zinazobeba uzito wa kiufundi, kihistoria na kimkakati kama pambano kati ya Inter Milan na AS Roma. Huu si mchezo…

Read More
  • International
  • Sports

Barcelona Yaichapa Atletico Ugenini, Yaendelea Kuongoza La Liga

Saleh3 days ago3 days ago02 mins

Klabu ya Barcelona imeendelea kujiimarisha kileleni mwa La Liga baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Atletico Madrid katika mchezo mkali uliopigwa kwenye dimba la Metropolitano. Mchezo huo ulikuwa na ushindani mkubwa, ambapo wenyeji Atletico walitangulia kufunga dakika ya 39 kupitia kwa Simeone, kabla ya Barcelona kusawazisha dakika ya 42 kupitia kwa…

Read More
  • Sports

Arsenal Watupwa Nje FA Baada ya Kichapo Kutoka kwa Southampton

Saleh3 days ago01 mins

Klabu ya Arsenal imeondoshwa kwenye michuano ya FA Cup baada ya kupokea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Southampton katika mchezo wa robo fainali. Matokeo hayo yanaifanya Southampton kufuzu hatua ya nusu fainali, ikiungana na Manchester City na Chelsea. Kwa upande wa Arsenal, hii ni pigo lingine kubwa baada ya kupoteza mechi ya pili mfululizo…

Read More
  • Sports

Ushindi wa Kifarao Unakuja Mtaani Kwa Udhamini Wa Meridianbet

Saleh3 days ago2 days ago02 mins

Hivi sasa farao wa ushindi amesimama upande wako na kuamua kuweka nguvu Meridianbet. Lengo ni moja tu, kukufanya uwe tajiri bila kuwa na safari yoyote. Books of Egypt sasa inakukaribisha moja kwa moja kwenye enzi za Misri ya kale, ambapo kila hatua unayochukua mchezoni inaweza kugeuza maisha yako. Huu mchezo ni safari ya mikakati na…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.