Bodø/Glimt Wazua Taharuki UEFA Baada ya Kuwaangusha Mabingwa

Je unajua kuwa ukiwa na Meridianbet ni rahisi sana kwa wewe kubashiri nani ambaye unaona atakuwa bingwa?. ODDS za kila bingwa zimekweka, hivyo ingia kwenye akaunti yako na ubashiri leo.

Timu ya Bodø/Glimt imeonyesha kuwa imekuja na ushindi wa kimasoko na uthabiti wa kiufundi unaovutia mashabiki kote. Bodøe/Glimt wamejijengea jina kama timu inayopambana, yenye mashambulizi makali, na inayoonyesha kiwango cha ushindani cha hali ya juu, si tu ndani ya ligi ya Norway bali pia katika mashindano ya UEFA kama ambavyo imefanya msimu huu.

Bodoe/Glimt chini ya kocha Kjetil Knutsen ndani ya Eliteserien bado wanapigiwa chapuo la kutetea taji lao ambao walilichukua msimu uliopita. Wameonyesha uwezo wa kushinda mechi ngumu dhidi ya washindani wao wa moja kwa moja, huku wakibakiza morali ya juu ndani ya kikosi.

Ligi yao hutoa timu mbili tuuh za kushiriki UEFA yaani zile zinazoshika nafasi ya 1 na ya 2 hivyo ili kushiriki michuano hiyo inabidi uhakikishe unamaliza nafasi mbili za juu pekee na ndivyo walivyofanya mabingwa hawa watetezi wa ligi hiyo.

Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Bodø/Glimt walifanya usajili wa wachezaji wenye uwezo wa kuongeza nguvu kwenye kikosi. Hii inawapa kocha fursa ya kubadilisha mbinu kulingana na mpinzani, na kuongeza mbadala wa wachezaji wanaoweza kuleta ushindi wakati wowote. Je unajua Meridianbet inatoa ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000?. Bashiri sasa.

Chini ya mwalimu Kjetil Knutsen wana fursa  kubwa ikiwa watatumia muda wao wa kujiandaa vyema kabla ya mechi zao za kwanza, wanaweza kuanza msimu kwa mafanikio, kuonyesha uthabiti na kujenga morali ya juu kwa kikosi chao.

Ikumbukwe kuwa kwenye UEFA msimu huu Bodø/Glimt pia walikuwa timu tishia kwelikweli kwani waliweza kuzifunga timu kubwa ambazo hakuna ambaye alitarajia wataweza kupata matokeo hayo.

Bodoe waliweza kuifunga timu ya Manchester City chini ya Pep Guardiola kwa mshangao mkubwa kabisa hakuna ambaye alidhani akuwa wanaweza kupata matokeo hayo. Wakaja wakamfunga Atletico Madrid ya Diego Simeone ambao wanafanya vizuri kule Hispania.

Vilevile ilifanikiwa kufika hatua ya 16 bora ambapo walipangwa kucheza dhidi ya Inter Milan, na mchezo wa kwanza walipata ushindi wa 3-1, lakini bado watu walitarajia timu hii ingeweza kwenda kutolewa pale Sansiro. Cha ajabu ni kwamba mechi ya mkondo wa pili walishinda pia kwa bao 2-1 na kufanya Aggregate kuwa 5-2.

Robo Fainali walipangiwa kucheza dhidi ya Sporting CP ya kule Ureno na mechi ya kwanza walianzania nyumbani na kama kawaida walitumia uwanja wao wa nyumbani vizuri kabisa ana wakashinda kwa kishindo mabao 3-0.

Waliposafiri kwenda Ureno na ndipo ndoto zao zilipokufa za kusonga mbele kwani mechi hiyo ya mkondo wa pili ilimalizika kwa wao kufungwa mabao 5-0, yaani bila hata kufunga bao lolote na kutupwa nje ya mahsindnao haya makubwa Barani Ulaya.

Je msimu huu Bodoe/Glimt atamaliza nafasi ya napi kwenye ligi?. Na je anaweza akafika nafasi ipi endapo akishiriki michuano hii ya Uefa?. Jisajili na ubashiri mechi za ligi kuu ya Norway na Meridianbet.