CAG Dkt. Kichere Aibua Kasoro kwenye mradi wa Uwanja wa Arusha, ongezeko la gharama la 81% laelezwa
DAR ES SALAAM, Machi 30, 2026 – Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, leo amewasilisha ripoti kuu ya mwaka wa fedha 2024/2025 kwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika Ikulu jijini Dar es Salaam, akibainisha mapungufu katika baadhi ya miradi ya maendeleo, ikiwemo ujenzi wa uwanja wa mpira wa…