Bodø/Glimt Wazua Taharuki UEFA Baada ya Kuwaangusha Mabingwa

Je unajua kuwa ukiwa na Meridianbet ni rahisi sana kwa wewe kubashiri nani ambaye unaona atakuwa bingwa?. ODDS za kila bingwa zimekweka, hivyo ingia kwenye akaunti yako na ubashiri leo. Timu ya Bodø/Glimt imeonyesha kuwa imekuja na ushindi wa kimasoko na uthabiti wa kiufundi unaovutia mashabiki kote. Bodøe/Glimt wamejijengea jina kama timu inayopambana, yenye mashambulizi…

Read More

Singida Black Stars yaivutia kasi Azam FC

HUSSEN Masanza, Ofisa Habari wa Singida Black Stars amesema kuwa wapo tayari kwa maandalizi ya mchezo ujao wa NBC Premier League vs Azam FC. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Airtel, Aprili Mosi 2026 kwa wababe hawa wawili kusaka pointi tatu ndani ya dakika 90. Kwenye msimamo Azam FC baada ya kucheza mechi 15, (MP)…

Read More