Man United Yaanza Kuonyesha Dalili za Kurejea Kwenye Ubora
Klabu ya Manchester United kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa ikipeperushwa na upepo wa mabadiliko ya mara kwa mara, hali iliyozua swali kubwa kuhusu utambulisho halisi wa timu hiyo ndani ya Premier League. Kuondoka kwa Erik ten Hag kuliacha pengo kubwa la falsafa ya soka, licha ya mafanikio ya mataji aliyoyaleta, huku kukiwa na dalili…