Mechi 5 zijazo Yanga SC NBC Premier League

MABINGWA watetezi wa NBC Premier League wapo nafasi ya kwanza wakiwa na pointi 38 baada ya mechi 16. Ratiba inaonyesha kuwa mchezo ujao kwa Yanga SC watakuwa nyumbani dhidi ya Wajelajela ambao wanapambania kubaki ndani ya ligi wakiwa nafasi ya 15. Hizi hapa mechi tano zijazo kwa Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Pedro Goncalves:…

Read More

Salah amekataa bonasi ya maana kabisa

 Mohamed Salah mwenye miaka 33 raia wa Misri inaelezwa kuwa amekataa bonasi ya kiasi cha Pauni Milioni 20 (zaidi ya Sh64 bilioni) ili kuondoka Liverpool.  Salah amefikia makubaliano ya kusitisha mkataba wake mwaka mmoja mapema, jambo litakaloifanya Liverpool kuokoa jumla ya Pauni Milioni 40.8 za mishahara na bonasi. Salah ilibidi asubiri mpaka 2027 kutokana na…

Read More