Feisal gari limewaka huko

KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum ni namba moja kwa mastaa waliohusika katika magoli mengi ndani ya NBC Premier League 2025/26. Ni mabao 11 amehusika katika kikosi cha Azam FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Florent Ibenge ndani ya ligi namba 6 kwa ubora. Fei amefunga jumla ya magoli 6 na ametoa pasi 5. Azam FC…

Read More

Kocha Stars abainisha sababu yakupoteza

Miguel Gamondi, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa kushindwa kutumia nafasi mbili ambazo walipata kwenye mchezo ni sababu kushindwa kupata ushindi. Tanzania 0-1 Liechtenstein ni matokeo kwenye mchezo uliochezwa Machi 26,2026 kwenye FIFA Series, Uwanja wa Kigali, Rwanda. Gamondi amesema: “Kila mwenye macho ameona, tulipata nafasi mbili tukashindwa kuzitumia…

Read More