Álvarez Atangaza Kujitoa Sokoni, Aendelea Kusalia Atlético Madrid

Julián Álvarez hana mpango wowote wa kuondoka Atlético Madrid msimu huu wa majira ya joto jambo linalozipa pigo kubwa juhudi za FC Barcelona kumsajili. ❌

Mshambuliaji huyo ameonyesha kujitolea kikamilifu kwa mradi wa timu unaoendelezwa na kocha Diego Simeone pale Atletico.

Arsenal pia wamekuwa wakihusishwa na mshambuliaji huyo raia wa Argentina 🇦🇷

(Chanzo: SPORT) ⚽