Orodha ya makipa wenye hati safi nyingi NBC Premier League
LIGI ya NBC Premier League ushindani wake ni mkubwa kwa kila timu kupambania ushindi ndani ya uwanja msimu wa 2025/26. Makipa kazi kubwa kwenye kuokoa michomo ndani ya uwanja huku Yanga SC wakiwa namba moja kwenye eneo hilo na ipo wazi baada ya mechi 16 timu hiyo haijapoteza mchezo. Hii hapa orodha ya makipa wenye…