Inter Milan Watinga Kileleni Kwa Mbinu Mpya ya Ushindi
Ligi kuu ya Italia, yaani SERIE A inazidi kupamba moto huku vinara wa ligi hiyo Inter Milan wakipigiwa chapuo la kuchukua taji hilo baada ya kuwa na mwendelezo mzuri wa matokeo. Msimu wa Inter Milan ulianza kwa utulivu wa kujiamini, lakini ukiwa na shinikizo kubwa la kuthibitisha ubora wao ndani ya Italia na Ulaya. Chini…