Skip to content
Thursday, March 26, 2026
  • Mali Yazua Gumzo Baada ya Kuwaacha Wachezaji Wake Maarufu
  • Mohamed Salah Atangaza Kuondoka Liverpool Bure Mwisho wa Msimu
  • Yanga Soccer School na EMWANI waja na mashindano bab kubwa
  • Orodha ya wakali wa pasi za mwisho NBC Premier League

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Mali Yazua Gumzo Baada ya Kuwaacha Wachezaji Wake Maarufu
  • Mohamed Salah Atangaza Kuondoka Liverpool Bure Mwisho wa Msimu
  • Yanga Soccer School na EMWANI waja na mashindano bab kubwa
  • Orodha ya wakali wa pasi za mwisho NBC Premier League

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2026
  • March
  • 22

March 22, 2026

  • Sports

Wembley Kuwaka Moto: Arsenal na Manchester City Kugombea Kombe la Carabao

Saleh3 days ago03 mins

Leo hii Dunia inaenda kushuhudia bingwa ambaye ataondoka na Kombe la EFL au Carabao kama ambavyo wengi tumezoea. Ni Arsenal au Manchester City kunyanyua kwapa leo? Mechi hii itapigwa pale Wembely majira ya saa 1:30 kwa saa za Afrika Mashariki huku watu wengi wakiaamini kuwa City chini ya Pep Guardiola wanaenda kupoteza mchezo huu kutokana…

Read More
  • Sports

Sunderland Waibuka na Ushindi wa 2-1 Dhidi ya Newcastle kwenye Dabi ya Tyne-Wear

Saleh3 days ago01 mins

Sunderland AFC wameonyesha ubabe wao baada ya kutoka nyuma kwa bao 1-0 na hatimaye kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Newcastle United katika mchezo wa Dabi ya Tyne-Wear uliopigwa kwenye dimba la St. James’ Park. Newcastle ndio walioanza kupata bao mapema dakika ya 10 kupitia kwa Anthony Gordon, lakini Sunderland walirejea mchezoni kwa…

Read More
  • International
  • Sports

Chelsea Yapokea Kipigo Kingine cha Aibu Dhidi ya Everton

Saleh4 days ago02 mins

Mshambuliaji Beto ameibuka shujaa wa Everton FC baada ya kufunga mabao mawili muhimu yaliyoisaidia timu yake kuibuka na ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Chelsea FC katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la Hill Dickinson. Everton walionyesha ubora wao tangu dakika za mwanzo za mchezo huo, huku Beto akifungua ukurasa wa mabao dakika ya 33…

Read More
  • International
  • Sports

Mabingwa Watetezi Pyramids Waaga CAFCL Baada ya Kichapo cha 2-1

Saleh4 days ago01 mins

Mabingwa watetezi wa CAF Champions League, Pyramids FC, wameaga rasmi michuano hiyo baada ya kutolewa na AS FAR Rabat kwa jumla ya mabao 3-2 katika hatua ya robo fainali. Baada ya sare ya 1-1 kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza, Pyramids walishuka dimbani wakiwa na matumaini ya kusonga mbele, lakini walijikuta wakizidiwa mbinu na wapinzani…

Read More
  • Sports

Esperance Waishtua Afrika, Wawasukumiza Nje Al Ahly Ligi Ya Mabingwa

Saleh4 days ago01 mins

Mabingwa mara 12 wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly SC, wameaga rasmi michuano ya CAF Champions League baada ya kupokea kichapo cha mabao 3-2 kutoka kwa Espérance de Tunis katika mchezo wa robo fainali, na hivyo kutolewa kwa jumla ya mabao 4-2. Katika mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa, Al Ahly walianza vyema kwa…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.