TRA United vs Yanga SC ni mchezo wa NBC Premier League unaotarajiwa kuchezwa leo Machi 18 2026.
Kikosi cha Yanga SC kinachoanza tayari kimeshatangazwa ambapo langoni anaanza Djigui Diarra.
Mabeki ni Israel Mwenda, Mohamed Hussen, Bakari Nondo na Assink
viungo
Damaro
Maxi Nzengeli
Duke Abuya
Pacome
Shekhan.
Mshambuliaji
Prince Dube
Wachezaji wa akiba ni Masalanga, Yao, Andabwile, Abubakar, Abdulnasir, Mudathir, Mwanengo, Kouma, Buba na Okello.
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.