Singida Black Stars vs Simba SC, mnyama ajaza viungo

Kikosi cha Simba SC kwenye mchezo wa leo Machi 11 vs Singida Black Stars, viungo wametawala asilimia kubwa kikosi cha kwanza. Uwanja wa Airtel utashuhudia mchezo huu wa NBC Premier League na kikosi cha mnyama kipo namna hii:- Langoni Mahamadou Kassali  Mabeki  Shomari Kapombe Nickson Kibabage Ismael Toure  De Reuck Viungo Yusuph Kagoma Libasse Gueye…

Read More