Bayern Munich Wawasha Moto Ulaya, Je Kompany Ataibuka na Makombe Mangapi?

Huu ni msimu bora kabisa kwa timu ya Ujerumani, Bayern Munich ambao wamekuwa kwenye mwendelezo wa kufanya vizuri Ulaya na hata ligi ya ndani. Je Kompany na vijana wake watachukua Makombe mangapi msimu huu?

Klabu hii imeendelea kuonesha ubora wake msimu huu, ikionesha kuwa ni miongoni mwa nguvu za soka la Ujerumani na Ulaya.

Bayern chini ya Vicent Kompany imeendelea kufanya vyema katika Ligi ya Bundesliga, ikishika nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa ligi huku ikitaka kushinda mataji yote kwenye mashindano wanayoshiriki.

Chini ya kocha huyo kikosi hicho kimekuwa bora zaidi huku wakiwa na safu bora ya ushambuliaji ambayo inaongozwa na Harry Kane aliyefikisha magoli 50 kwenye mechi 42 alizocheza hadi sasa.

NB: Mbali na kubashiri mechi za kandanda, Meridianbet pia inakupa nafasi ya kucheza michezo ya kasino mtandaoni kama Aviator, Keno, Super Heli, ambapo unaweza kujishindia zawadi kama simu mpya aina ya Samsung A26. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Kwenye UEFA Champions League, Bayern Munich pia imeonyesha kuwa ni miongoni mwa timu zinazowania ubingwa. Na mpaka sasa yupo kwenye hatua ya 16 bora na amepangwa kucheza na Atalanta kutoka kule Italia moja ya timu ambayo haitabiriki kabisa. Jisajili na ubashiri mechi zote na Meridianbet.

Uwezo wa wachezaji wake kuhimili kasi ya mashindano ya Ulaya, pamoja na uzoefu wa kucheza mechi kubwa, unaifanya Bayern kuwa tishio kwa timu yoyote barani Ulaya. Nidhamu ya kiufundi na mbinu sahihi za kocha zimeendelea kuipa timu makali katika mashindano haya makubwa.

Mbali na Bundesliga na UEFA, Bayern Munich pia imekuwa na ushindani mkubwa katika mashindano ya ndani kama DFB-Pokal, ambapo kila msimu huweka malengo ya kutwaa makombe yote ambayo wanashiriki kikamilifu. Mtazamo wa timu ni kushinda kila taji linalowezekana, na hilo linaonekana wazi kupitia ari na morali ya wachezaji.

Vijana hao wa Kompany wana malengo ya wazi  ya kurejesha au kuendeleza ubingwa wa Bundesliga, kufika mbali zaidi katika UEFA Champions League, na kushindania makombe yote ya ndani.

Bayern wapo nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa Bundesliga wakiwa na pointi zao 63 wakiwaacha wapinzani wao nafasi 11 ambao wanawafuata. Je timu hiyo msimu huu itachukua mataji mangapi?. Bashiri hapa.