
Siku ya leo inaenda kubadilisha maisha yako moja kwa moja kwani mechi kibao zipo uwanjani na nafasi ya kuondoka na ushindi ipo mikononi mwako. Ingia kwenye akaunti yako na uanze kubeti sasa.
Ligi kuu ya Italia, SERIE A kuna mechi za kubashiri Fiorentina ataumana dhidi ya Parma ambao wanashika nafasi ya 11 huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 16. Pointi 3 ni muhimu sana kwa timu zote mbili hasa ukizingatia nafasi walizopo. Suka mkeka wako hapa.
AS Roma atakuwa ugenini kumfata Genoa ambapo mechi ya kwanza walipokutana Roma aliondoka na ushindi mnono. Leo hii mwenyeji akiwa nyumbani anataka kulipa kisasi. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii hivyo ingia kwenye akaunti yako na ubashiri hapa.
Mechi kali itakuwa ni hii ya Milan Derby, kati ya AC Milan atakipiga dhidi ya Inter Milan ambao ni vinara wa ligi. Tofauti ya pointi kati yao mpaka sasa ni 10 lakini pia vijana wa Chivu wanahitaji kulipa kisasi siku ya leo baada ya kupoteza mechi iliyopita walipokutana. Machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi hii. Jisajili hapa.
NB: Mbali na kubashiri mechi za kandanda, Meridianbet pia inakupa nafasi ya kucheza michezo ya kasino mtandaoni kama Aviator, Keno, Super Heli, ambapo unaweza kujishindia zawadi kama simu mpya aina ya Samsung A26. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
LALIGA kule Hispania kuna mechi zinazoendelea Villarreal atamenyana dhidi ya Elche ambao wanashika nafasi ya 17 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 4 hadi sasa kwenye msimamo wa ligi. Nyambizi wa Njano wanahitaji ushindi siku ya leo kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kushiriki UEFA. Nani kuondoka na ushindi mkubwa leo. Bashiri hapa.
Mechi nyingine ni hii ya Getafe vs Real Betis mechi ambayo itapigwa majira ya 12:15 huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 14 hadi sasa. Kila timu inahitaji kupata ushindi kwenye mtanange wa leo huku Meridianbet ikisema kuwa hii ndio nafasi ya wewe kuondoka na mkwanja. Jisajili hapa.
Nao Sevilla watakuwa kibarunai dhidi ya Rayo Vallecano ambao wanahitaji kushinda mechi hii kusogea kwenye nafasi ya juu kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji pia anahitaji ushindi kwenye mechi hii leo huku Meridianbet wakiipa mechi hii ODDS KUBWA. Tandika jamvi hapa.
LIGUE 1 kule Ufaransa itaendelea Lens atamenyana dhidi ya Metz ambao wapo nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji anahitaji ushindi siku ya leo baada ya kukosa ushindi kwenye mechi zake zilizopita. ODDS za kibabe unazipata kwenye mechi hii. Bashiri hapa.
Nao Nice watakipiga dhidi ya Rennes ambao tofauti ya pointi kati yao ni 20 hadi sasa huku mgeni akitaka kulipa kisasi siku ya leo baada ya kupoteza mechi ya kwanza walipokutana. Je wewe unampa nani ubashiri wako siku ya leo?. Suka jamvi hapa.
Lyon atamleta kwake Paris ambao wamepanda daraja msimu huu huku wakiwa ni moja ya mechi ngumu. Mwenyeji yupo nafasi ya 3 na ushindi wa leo ni muhimu sana kwake kwani utamfanya ajiweke kwenye nafasi nzuri ya kushiriki kwenye michuano ya Ulaya. Beti hapa.