Wananchi Wapeta Singida! Yanga 3-0 Singida Black Stars

Singida Black Stars 0️⃣–3️⃣ Yanga SC Ushindi mnono kwa Wananchi baada ya kuonyesha ubora wao uwanjani! ⚽️ 39’ Dube ⚽️ 45+2’ Okello (Pen) ⚽️ 58’ Mudathir Kwa matokeo haya, Yanga wanafikisha alama 32 kileleni mwa msimamo wa ligi, huku watani zao Simba SC wakiwa na alama 24 na mechi moja mkononi. Mbio za ubingwa zinaendelea…

Read More

Manchester United Yapoteza kwa Mara ya Kwanza Chini ya Michael Carrick Baada ya Kuchapwa na Newcastle United

Manchester United imepoteza kwa mara ya kwanza ikiwa chini ya kocha Michael Carrick baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Newcastle United katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la St James’ Park. Mchezo huo ulikuwa na ushindani mkubwa huku Newcastle wakionekana kupambana kwa nguvu licha ya kubaki na wachezaji 10 kuanzia dakika za mwisho…

Read More

Singida Black Stars vs Yanga SC ni leo

Singida Black Stars vs Yanga SC ni leo NBC Premier League, Uwanja wa Airtel kwa wababe hawa kusaka pointi tatu muhimu. Yanga SC 0-0 Simba SC ni matokeo yaliyopita kwa wapinzani wa Singinda Black Stars iliyo nafasi ya 9 na pointi 19. Wageni wamekusanya pointi 29 wote wakiwa wamecheza mechi 11 ndani ya msimu wa…

Read More