Live: Yanga SC 0-0 Simba SC, NBC Premier League

FT: Yanga SC 0-0 Simba SC, NBC Premier League

Uwanja: New Amaan Complex

Saa: 2:15 usiku.

Wababe wawili wamegawana pointi kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi baada ya kutamatika ndani ya dakika 90.

Sheria 17 zilikuwa zikisimamiwa na mwamuzi Nassoro Mwinchui kutoka Tanga ambaye amefanya kazi yake kwa ushirikiano na waamuzi wengine waliokuwa kwenye orodha.

Mnyama alikutwa kwenye mtego kipindi cha pili kupitia Seleman Mwalimu ambaye bao lake lililofutwa limekuwa gumzo.

Dakika ya 90

Dakika ya 80

Dakika ya 61 ya mchezo

Kipindi cha pili kimeanza

Yanga SC mashuti yaliyolenga lango 2-3 Simba SC

Yanga SC mashuti ambayo hayajalenga lango ni 3-3 Simba SC

Mapigo ya kona ni Yanga SC 1-1 Simba SC

Dakika ya 53 ya mchezo

Dakika ya 45

Dakika ya 42

Dakika ya 33

Umiliki Yanga SC 50% Simba SC

Mashuti yaliyolenga lango Yanga SC 0-3 Simba SC

Mapigo ya kona Yanga SC 0-1 Simba SC

Mashuti ambayo hayajalenga lango ni Yanga SC 1-2 Simba SC

Dickson Job ameshindwa kuendelea na mchezo nafasi yake imechukuliwa na Bakari Nondo dakika ya 37.

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.